1 Petro 5:7
Mtwikeni yeye fadhaa zenu zote, kwa maana yeye hujishughulisha sana na mambo yenu.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Casting all your care upon him; for he careth for you.
In Context
6Basi, nyenyekeeni chini ya mkono wa Mungu ulio hodari, ili awakweze kwa wakati wake.
Cross References
1 Samuel 1:10Kwa uchungu wa rohoni Hana alilia sana na akamwomba Bwana.
Psalms 27:13Nami bado nina tumaini hili: 2 nitauona wema wa Bwana 2 katika nchi ya walio hai. 1
Psalms 37:5Mkabidhi Bwana njia yako, 2 mtumaini yeye, naye atatenda hili: 1
Psalms 56:3Wakati ninapoogopa, 2 nitakutumaini wewe. 1
Matthew 6:25“Kwa hiyo nawaambia, msisumbukie maisha yenu kwamba mtakula nini au mtakunywa nini; au msumbukie miili yenu kwamba mtavaa nini. Je, maisha si zaidi ya chakula, na mwili zaidi ya mavazi?
Mark 4:38Yesu alikuwa katika shetri, akiwa analala juu ya mto. Wanafunzi wake wakamwamsha, wakamwambia, “Mwalimu, hujali kama tunazama?”