1 Petro 5:8
Mwe na kiasi na kukesha, maana adui yenu ibilisi huzungukazunguka kama simba angurumaye akitafuta mtu ili apate kummeza.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
7Mtwikeni yeye fadhaa zenu zote, kwa maana yeye hujishughulisha sana na mambo yenu.
Cross References
Judges 14:5Samsoni akateremkia Timna pamoja na baba yake na mama yake. Walipofika kwenye mashamba ya mizabibu huko Timna, ghafula mwana simba akamjia akimngurumia.
Job 1:6Siku moja wana wa Mungu + 1:6 Wana wa Mungu hapa ina maana malaika au viumbe vya mbinguni. walikwenda kujionyesha mbele za Bwana. Shetani + 1:6 Shetani hapa ina maana ya mshtaki wa watakatifu. naye akaja pamoja nao.
Psalms 104:21Simba hunguruma kwa mawindo yao, 2 na kutafuta chakula chao kutoka kwa Mungu. 1
Proverbs 19:12Ghadhabu ya mfalme ni kama mngurumo wa simba, 2 bali wema wake ni kama umande juu ya nyasi. 1
Isaiah 5:29Ngurumo yao ni kama ile ya simba, 2 wananguruma kama wana simba, 1 wanakoroma wanapokamata mawindo yao, 2 na kuondoka nayo pasipo yeyote wa kuokoa. 1
Isaiah 50:8Yeye anipatiaye haki yangu yu karibu. 1 Ni nani basi atakayeleta mashtaka dhidi yangu? 2 Tukabiliane uso kwa uso! 1 Mshtaki wangu ni nani? 2 Ni nani aliye mshtaki wangu? 1