The Bible Software
bible.software1 Samuel1 Samuel 12 › 1 Samuel 12:21

1 Samuel 12:21

Msigeukie sanamu zisizofaa. Haziwezi kuwatendea jema, wala haziwezi kuwaokoa kwa sababu hazina maana.

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

And turn ye not aside: for then should ye go after vain things, which cannot profit nor deliver; for they are vain.

In Context

20Samweli akajibu, “Msiogope, mmefanya uovu huu wote; hata hivyo msimwache Bwana, bali mtumikieni Bwana kwa moyo wenu wote.

22Kwa ajili ya jina lake kuu Bwana hatawakataa watu wake, kwa sababu ilimpendeza Bwana kuwafanya kuwa wake mwenyewe.

Read all of 1 Samuel 12

Cross References

Deuteronomy 30:17Lakini kama moyo wako ukigeukia mbali ukawa huna utii, kama umevutwa kuisujudia miungu mingine na kuiabudu,

2 Kings 17:15Walizikataa amri zake, na agano alilokuwa amelifanya na baba zao, na maonyo aliyokuwa amewapa. Wakafuata sanamu zisizofaa, nao wenyewe wakawa hawafai. Wakayaiga mataifa yaliyowazunguka, ingawa Bwana alikuwa amewaonya akiwaambia, “Msifanye kama wanavyofanya,” nao wakafanya mambo ambayo Bwana alikuwa amewakataza wasifanye.

Isaiah 41:23tuambieni ni nini kitakachotokea baadaye, 2 ili tupate kujua kuwa ninyi ni miungu. 1 Fanyeni jambo lolote zuri au baya, 2 ili tupate kutishika na kujazwa na hofu. 1

Isaiah 44:9Wote wachongao sanamu ni ubatili, 2 navyo vitu wanavyovithamini havifai kitu. 1 Wale ambao wanazitetea ni vipofu, 2 ni wajinga, nao waaibika. 1

Isaiah 46:7Huiinua mabegani na kuichukua; 2 huiweka mahali pake, papo hapo ndipo isimamapo. 2 Wala haiwezi kusogea kutoka mahali pale. 1 Ingawa mtu huililia, haimjibu; 2 haiwezi kumwokoa kwenye taabu zake. 1

Jeremiah 2:13“Watu wangu wametenda dhambi mbili: 2 Wameniacha mimi, 2 niliye chemchemi ya maji yaliyo hai, 1 nao wamejichimbia visima vyao wenyewe, 2 visima vilivyobomoka, visivyoweza kuhifadhi maji. 1

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study 1 Samuel 12:21

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← 1 Samuel 12:201 Samuel 121 Samuel 12:22 →