The Bible Software
bible.softwareIsayaIsaya 44 › Isaya 44:9

Isaya 44:9

Wote wachongao sanamu ni ubatili, 2 navyo vitu wanavyovithamini havifai kitu. 1 Wale ambao wanazitetea ni vipofu, 2 ni wajinga, nao waaibika. 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

They that make a graven image are all of them vanity; and their delectable things shall not profit; and they are their own witnesses; they see not, nor know; that they may be ashamed.

In Context

8Msitetemeke, msiogope. 2 Je, sikutangaza hili, na kutoa unabii tangu zamani? 1 Ninyi ni mashahidi wangu. 2 Je, yuko Mungu zaidi yangu mimi? 1 Hasha, hakuna Mwamba mwingine; 2 mimi simjui mwingine.” 1

10Ni nani atengenezaye mungu na kusubu sanamu, 2 ambayo haiwezi kumfaidia kitu chochote? 1

Read all of Isaya 44

Cross References

Deuteronomy 4:28Huko mtaabudu miungu ya miti na mawe iliyotengenezwa na watu, ambayo haiwezi kuona au kusikia wala kula au kunusa.

Judges 10:14Nendeni mkaililie ile miungu mlioichagua. Hiyo miungu na iwaokoe mnapokuwa katika taabu!”

Psalms 97:7Wote waabuduo sanamu waaibishwa, 2 wale wajisifiao sanamu: 2 mwabuduni yeye, enyi miungu yote! 1

Psalms 115:8Wale wanaozitengeneza watafanana nazo, 2 vivyo hivyo wale wote wanaozitumainia. 1

Isaiah 2:20Siku ile, watu watawatupia 2 panya na popo 1 sanamu zao za fedha na za dhahabu, 2 walizozitengeneza ili waziabudu. 1

Isaiah 41:24Lakini ninyi ni zaidi ya bure kabisa, 2 na kazi zenu hazifai kitu kabisa; 2 yeye awachaguaye ni chukizo sana. 1

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Isaya 44:9

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Isaya 44:8Isaya 44Isaya 44:10 →