1 Samweli 13:12
nikawaza, ‘Sasa Wafilisti watateremka dhidi yangu huko Gilgali nami sijaomba kibali kwa Bwana.’ Hivyo nikalazimika kutoa sadaka ya kuteketezwa.”
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
1 Samuel 15:22Lakini Samweli akajibu: 1 “Je, Bwana anafurahia sadaka za kuteketezwa na dhabihu 2 kama vile kuitii sauti ya Bwana? 1 Kutii ni bora zaidi kuliko dhabihu, 2 nako kusikia ni bora 2 kuliko mafuta ya kondoo dume. 1
1 Kings 12:26Yeroboamu akawaza moyoni mwake, “Sasa inawezekana ufalme ukarudi katika nyumba ya Daudi.
Amos 8:5mkisema, 1 “Ni lini Mwezi Mwandamo utakapopita 2 ili tupate kuuza nafaka, 1 na Sabato itakwisha lini 2 ili tuweze kuuza ngano?” 1 Mkipunguza vipimo, 2 na kuongeza bei, 2 na kudanganya kwa mizani zisizo sawa, 1