Amosi 8:5
mkisema, 1 “Ni lini Mwezi Mwandamo utakapopita 2 ili tupate kuuza nafaka, 1 na Sabato itakwisha lini 2 ili tuweze kuuza ngano?” 1 Mkipunguza vipimo, 2 na kuongeza bei, 2 na kudanganya kwa mizani zisizo sawa, 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
4Lisikieni hili, ninyi ambao mnawagandamiza wahitaji, 2 na kuwaonea maskini wa nchi,
Cross References
Leviticus 19:36Tumia mizani halali, mawe ya kupimia uzito halali, efa + 19:36 Efa kilikuwa kipimo cha vitu vikavu. halali, na hini + 19:36 Hini kilikuwa kipimo cha vitu vimiminika. halali. Mimi ndimi Bwana Mungu wako, ambaye alikutoa katika nchi ya Misri.
Numbers 28:11“ ‘Siku ya kwanza ya kila mwezi, mtamletea Bwana sadaka ya kuteketezwa ya fahali wawili wachanga, kondoo dume mmoja na wana-kondoo saba wa mwaka mmoja, wote wasiokuwa na dosari.
Deuteronomy 25:15Ni lazima uwe na uzito na vipimo sahihi na vya haki, ili upate kuishi maisha marefu katika nchi anayokupa Bwana Mungu wako.
Nehemiah 13:15Siku hizo nikaona watu katika Yuda wakikanyaga mashinikizo ya divai siku ya Sabato na kuleta nafaka wakiwapakiza punda, pamoja na divai, zabibu, tini na aina nyingine za mizigo. Nao walikuwa wakileta haya yote Yerusalemu siku ya Sabato. Kwa hiyo niliwaonya dhidi ya kuuza vyakula siku hiyo.
Psalms 81:3Pigeni baragumu za pembe za kondoo dume 2 wakati wa Mwandamo wa Mwezi, 1 na wakati wa mwezi mpevu, 2 katika siku ya Sikukuu yetu; 1
Proverbs 16:11Vipimo na mizani za halali hutoka kwa Bwana; 2 mawe yote ya kupimia yaliyo katika mfuko ameyafanya yeye. 1