bible.software › 1 Samuel › 1 Samuel 13 › 1 Samuel 13:21
1 Samuel 13:21
Bei ilikuwa fedha theluthi mbili za shekeli + 13:21 Theluthi mbili za shekeli za fedha ni sawa na gramu 8. kunoa majembe ya plau na majembe ya mkono, na theluthi moja ya shekeli + 13:21 Theluthi moja ya shekeli ya fedha ni sawa na gramu 4. kwa nyuma, mashoka na michokoo.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Yet they had a file for the mattocks, and for the coulters, and for the forks, and for the axes, and to sharpen the goads.
In Context
20Hivyo Waisraeli wote huteremka kwa Wafilisti ili kunoa majembe ya plau, majembe ya mkono, mashoka na miundu.
22Kwa hiyo siku ya vita hakuna askari yeyote aliyekuwa kambini na Sauli na Yonathani ambaye alikuwa na upanga wala mkuki mkononi mwake; Sauli tu na mwanawe Yonathani ndio waliokuwa navyo. 1 Yonathani Awashambulia Wafilisti
Read all of 1 Samuel 13
This Verse In Other Editions
Study 1 Samuel 13:21