1 Samuel 13:22
Kwa hiyo siku ya vita hakuna askari yeyote aliyekuwa kambini na Sauli na Yonathani ambaye alikuwa na upanga wala mkuki mkononi mwake; Sauli tu na mwanawe Yonathani ndio waliokuwa navyo. 1 Yonathani Awashambulia Wafilisti
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
23Basi kikosi cha Wafilisti kilikuwa kimetoka kuelekea njia iendayo Mikmashi.
Cross References
Judges 5:8Walipochagua miungu migeni, 2 vita vilikuja katika malango ya mji, 1 hapakuonekana ngao wala mkuki 2 miongoni mwa mashujaa 40,000 katika Israeli. 1
1 Samuel 17:50Basi Daudi akamshinda huyo Mfilisti kwa kombeo na jiwe; bila kuwa na upanga mikononi mwake akampiga huyo Mfilisti na kumuua.
1 Corinthians 1:27Lakini Mungu alivichagua vitu vipumbavu vya ulimwengu ili awaaibishe wenye hekima, Mungu alivichagua vitu dhaifu vya ulimwengu ili awaaibishe wenye nguvu.