1 Samuel 21:11
Lakini watumishi wa Akishi wakamwambia, “Je, huyu si ndiye Daudi mfalme wa nchi? Je, huyu si ndiye yule ambaye wanaimba katika ngoma zao wakisema: 1 “ ‘Sauli amewaua elfu zake, 2 naye Daudi makumi elfu yake’?”
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
10Siku ile Daudi akamkimbia Sauli na kwenda kwa Akishi mfalme wa Gathi.
12Daudi akayaweka maneno haya moyoni naye akamwogopa sana Akishi mfalme wa Gathi.
Cross References
1 Samuel 18:7Walipokuwa wanacheza, wakaimba: 1 “Sauli amewaua elfu zake, 2 naye Daudi makumi elfu yake.”
1 Samuel 27:1Daudi akasema moyoni mwake, “Katika mojawapo ya siku hizi nitaangamizwa kwa mkono wa Sauli. Jambo lililo bora ni kutorokea kwenye nchi ya Wafilisti. Hivyo Sauli atakata tamaa ya kunisaka popote katika Israeli, nami nitakuwa nimeponyoka mkononi mwake.”
1 Samuel 29:5Je, huyu si ndiye Daudi walioimba kumhusu katika ngoma zao, wakisema: 1 “ ‘Sauli amewaua elfu zake, 2 naye Daudi makumi elfu yake’?”
Psalms 56:1Ee Mungu unihurumie, maana watu wananifuatia vikali; 2 mchana kutwa wanazidisha mashambulizi yao. 1