The Bible Software
bible.software1 Samuel1 Samuel 21 › 1 Samuel 21:12

1 Samuel 21:12

Daudi akayaweka maneno haya moyoni naye akamwogopa sana Akishi mfalme wa Gathi.

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

And David laid up these words in his heart, and was sore afraid of Achish the king of Gath.

In Context

11Lakini watumishi wa Akishi wakamwambia, “Je, huyu si ndiye Daudi mfalme wa nchi? Je, huyu si ndiye yule ambaye wanaimba katika ngoma zao wakisema: 1 “ ‘Sauli amewaua elfu zake, 2 naye Daudi makumi elfu yake’?”

13Basi akajifanya mwendawazimu mbele yao; naye alipokuwa mikononi mwao, alitenda kama kichaa, akikwaruza kwa kutia alama juu ya milango ya lango na kuachia udelele kutiririka kwenye ndevu zake.

Read all of 1 Samuel 21

Cross References

Genesis 26:7Watu wa mahali pale walipomuuliza habari za mke wake, akasema, “Huyu ni dada yangu,” kwa sababu aliogopa kusema, “Huyu ni mke wangu.” Alifikiri, “Watu wa mahali pale wataweza kumuua kwa sababu ya Rebeka, kwa kuwa alikuwa mzuri wa sura.”

1 Samuel 21:10Siku ile Daudi akamkimbia Sauli na kwenda kwa Akishi mfalme wa Gathi.

Psalms 56:3Wakati ninapoogopa, 2 nitakutumaini wewe. 1

Luke 2:19Lakini Maria akayaweka mambo haya yote moyoni mwake na kuyatafakari.

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study 1 Samuel 21:12

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← 1 Samuel 21:111 Samuel 211 Samuel 21:13 →