bible.software › 1 Samuel › 1 Samuel 21 › 1 Samuel 21:3
1 Samuel 21:3
Sasa basi, una nini mkononi? Nipatie mikate mitano au chochote unachoweza kupata.”
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Now therefore what is under thine hand? give me five loaves of bread in mine hand, or what there is present.
In Context
2Daudi akamjibu Ahimeleki kuhani, akisema, “Mfalme ameniagiza shughuli fulani na kuniambia, ‘Mtu yeyote asijue chochote kuhusu kazi yako wala maagizo yako!’ Kuhusu watu wangu, nimewaambia tukutane mahali fulani.
4Lakini kuhani akamjibu Daudi, “Sina mkate wowote wa kawaida kwa sasa. Hata hivyo, ipo hapa mikate iliyowekwa wakfu, iwapo watu wamejitenga na wanawake.”
Read all of 1 Samuel 21
Cross References
1 Samuel 21:4Lakini kuhani akamjibu Daudi, “Sina mkate wowote wa kawaida kwa sasa. Hata hivyo, ipo hapa mikate iliyowekwa wakfu, iwapo watu wamejitenga na wanawake.”
This Verse In Other Editions
Study 1 Samuel 21:3