1 Samuel 21:2
Daudi akamjibu Ahimeleki kuhani, akisema, “Mfalme ameniagiza shughuli fulani na kuniambia, ‘Mtu yeyote asijue chochote kuhusu kazi yako wala maagizo yako!’ Kuhusu watu wangu, nimewaambia tukutane mahali fulani.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
3Sasa basi, una nini mkononi? Nipatie mikate mitano au chochote unachoweza kupata.”
Cross References
Genesis 27:20Isaki akamuuliza mwanawe. “Umepataje haraka namna hii, mwanangu?” Akajibu, “ Bwana Mungu wako amenifanikisha.”
1 Samuel 19:17Sauli akamwambia Mikali, “Kwa nini umenidanganya mimi hivi na kumwacha adui yangu aende zake ili apate kuokoka?” Mikali akamwambia, “Yeye aliniambia, ‘Niache niende zangu. Kwa nini nikuue?’ ”
1 Samuel 22:22Kisha Daudi akamwambia Abiathari: “Siku ile, wakati Doegi Mwedomu alipokuwa pale, nilijua atahakikisha amemwambia Sauli. Mimi ninawajibika kwa vifo vya jamaa ya baba yako yote.
Nehemiah 11:32katika Anathothi, Nobu na Anania,
Isaiah 10:32Siku hii ya leo watasimama Nobu; 2 watatikisa ngumi zao 1 kwa mlima wa Binti Sayuni, 2 kwa kilima cha Yerusalemu. 1
Colossians 3:9Msiambiane uongo, kwa maana mmevua kabisa utu wenu wa kale pamoja na matendo yake,