1 Samuel 23:21
Sauli akajibu, “ Bwana awabariki kwa kunifikiria.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And Saul said, Blessed be ye of the LORD; for ye have compassion on me.
In Context
Cross References
Genesis 20:13Wakati Bwana aliponifanya nisafiri mbali na nyumbani mwa baba yangu, nilimwambia, ‘Hivi ndivyo utakavyoonyesha pendo lako kwangu: Kila mahali tutakapokwenda, kuhusu mimi sema, “Huyu ni kaka yangu.” ’ ”
1 Samuel 15:13Samweli alipomfikia, Sauli akamwambia, “ Bwana akubariki! Nimetimiza yale Bwana aliniagiza.”
Psalms 10:3Hujivunia tamaa za moyo wake; 2 humbariki mlafi na kumtukana Bwana. 1
Micah 3:11Viongozi wake wanahukumu kwa rushwa, 2 na makuhani wake wanafundisha kwa malipo, 2 nao manabii wake wanatabiri kwa fedha. 1 Hata hivyo wanamwegemea Bwana na kusema, 2 “Je, Bwana si yumo miongoni mwetu? 2 Hakuna maafa yatakayotupata.” 1