The Bible Software
bible.softwareMicahMicah 3 › Micah 3:11

Micah 3:11

Viongozi wake wanahukumu kwa rushwa, 2 na makuhani wake wanafundisha kwa malipo, 2 nao manabii wake wanatabiri kwa fedha. 1 Hata hivyo wanamwegemea Bwana na kusema, 2 “Je, Bwana si yumo miongoni mwetu? 2 Hakuna maafa yatakayotupata.” 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

The heads thereof judge for reward, and the priests thereof teach for hire, and the prophets thereof divine for money: yet will they lean upon the LORD, and say, Is not the LORD among us? none evil can come upon us.

In Context

10mnaojenga Sayuni kwa kumwaga damu 2 na Yerusalemu kwa uovu. 1

12Kwa hiyo kwa sababu yenu, 2 Sayuni italimwa kama shamba, 1 Yerusalemu itakuwa lundo la kokoto, 2 na kilima cha Hekalu 1 kitakuwa kichuguu 2 kilichofunikwa na vichaka.

Read all of Micah 3

Cross References

Numbers 22:7Wazee wa Moabu na wa Midiani wakaondoka, wakiwa wamechukua ada ya uaguzi. Walipokwenda kwa Balaamu, wakamweleza kile Balaki alikuwa amesema.

1 Samuel 8:3Lakini wanawe hawakuenenda katika njia zake. Waliziacha wakageukia faida za udanganyifu nao wakapokea rushwa na kupotosha haki.

Proverbs 17:23Mtu mwovu hukubali rushwa kwa siri 2 ili kupotosha njia ya haki. 1

Isaiah 48:2ninyi mnaojiita raiya wa mji mtakatifu, 2 na kumtegemea Mungu wa Israeli, 2 Bwana Mwenye Nguvu Zote ndilo jina lake: 1

Jeremiah 5:12Wamedanganya kuhusu Bwana. 2 Wamesema, “Yeye hatafanya jambo lolote! 1 Hakuna dhara litakalotupata; 2 kamwe hatutaona upanga wala njaa. 1

Jeremiah 7:4Msitumainie maneno ya udanganyifu na kusema, “Hili ni Hekalu la Bwana, Hekalu la Bwana, Hekalu la Bwana!”

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Micah 3:11

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Micah 3:10Micah 3Micah 3:12 →