1 Samweli 25:13
Daudi akawaambia watu wake, “Jifungeni panga zenu!” Basi wakajifunga panga zao, naye Daudi akajifunga upanga wake. Watu kama mia nne hivi wakapanda pamoja na Daudi, na watu mia mbili wakabaki na vifaa.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
12Watu wa Daudi wakageuka na kurudi. Walipofika, wakaarifu kila neno.
Cross References
Joshua 9:14Basi watu wa Israeli wakavikagua vyakula vyao bila kupata shauri kutoka kwa Bwana.
1 Samuel 23:13Basi Daudi na watu wake, wapatao 600, wakaondoka Keila wakawa wanakwenda sehemu moja hadi nyingine. Sauli alipoambiwa Daudi ametoroka kutoka Keila, hakwenda huko.
1 Samuel 27:2Hivyo Daudi akaondoka na hao watu mia sita waliokuwa pamoja naye na kwenda kwa Akishi mwana wa Maoki mfalme wa Gathi.
1 Samuel 30:21Kisha Daudi akafika kwa wale watu 200 waliokuwa wamechoka sana kumfuata na ambao waliachwa nyuma kwenye Bonde la Besori. Wakatoka kwenda kumlaki Daudi na wale watu aliokuwa nao. Daudi na watu wake walipowakaribia, akawasalimu.
Proverbs 16:32Ni afadhali mtu mstahimilivu kuliko shujaa, 2 mtu anayeitawala hasira yake kuliko yule autekaye mji. 1
Proverbs 19:11Hekima ya mtu humpa uvumilivu, 2 ni kwa utukufu wake kusamehe makosa. 1