Proverbs 19:11
Hekima ya mtu humpa uvumilivu, 2 ni kwa utukufu wake kusamehe makosa. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
The discretion of a man deferreth his anger; and it is his glory to pass over a transgression.
In Context
12Ghadhabu ya mfalme ni kama mngurumo wa simba, 2 bali wema wake ni kama umande juu ya nyasi. 1
Cross References
Proverbs 12:16Mpumbavu huonyesha kuudhika kwake mara moja, 2 bali mtu wa busara hupuuza matukano. 1
Proverbs 15:18Mtu mwepesi wa hasira huchochea ugomvi, 2 bali mtu mvumilivu hutuliza ugomvi. 1
Proverbs 17:14Kuanzisha ugomvi ni kama kutoboa bwawa la maji; 2 kwa hiyo acha jambo hilo kabla mabishano hayajaanza. 1
Proverbs 20:22Usiseme, “Nitakulipiza kwa ajili ya kosa hili!” 2 Mngojee Bwana, naye atakuokoa. 1
Matthew 5:44Lakini ninawaambia: Wapendeni adui zenu na waombeeni wanaowatesa ninyi,
Romans 12:18Kama ikiwezekana, kwa upande wenu kaeni kwa amani na watu wote.