1 Samweli 28:4
Wafilisti wakakusanyika na kupiga kambi yao huko Shunemu, naye Sauli akawakusanya Waisraeli wote na kupiga kambi yao huko Gilboa.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
5Sauli alipoona jeshi la Wafilisti, akaogopa; moyo wake ukajawa na hofu kuu.
Cross References
Joshua 19:18Eneo lao lilijumuisha: 1 Yezreeli, Kesulothi, Shunemu,
1 Samuel 31:8Kesho yake Wafilisti walipokuja kuwavua maiti silaha, walimkuta Sauli na wanawe watatu wameanguka katika Mlima Gilboa.
2 Samuel 1:21“Enyi milima ya Gilboa, 2 msipate umande wala mvua, 2 wala mashamba yazaayo sadaka ya nafaka. 1 Kwa maana huko ndiko ngao ya mwenye nguvu iliponajisiwa, 2 ngao ya Sauli haitapakwa tena mafuta. 1
2 Kings 4:8Siku moja Elisha akaenda Shunemu. Huko kulikuwa na mwanamke mmoja mwenye cheo, ambaye alimsisitiza Elisha aje kula chakula. Kwa hiyo kila mara alipitia pale, akaingia humo ili ale.