The Bible Software
bible.software2 Samuel2 Samuel 1 › 2 Samuel 1:21

2 Samuel 1:21

“Enyi milima ya Gilboa, 2 msipate umande wala mvua, 2 wala mashamba yazaayo sadaka ya nafaka. 1 Kwa maana huko ndiko ngao ya mwenye nguvu iliponajisiwa, 2 ngao ya Sauli haitapakwa tena mafuta. 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

Ye mountains of Gilboa, let there be no dew, neither let there be rain, upon you, nor fields of offerings: for there the shield of the mighty is vilely cast away, the shield of Saul, as though he had not been anointed with oil.

In Context

20“Msilisimulie hili katika Gathi, 2 msilitangaze hili katika 2 barabara za Ashkeloni, 1 binti za Wafilisti wasije wakafurahia, 2 binti za hao wasiotahiriwa 2 wasije wakashangilia. 1

22Kutokana na damu ya waliouawa, 2 kutokana na miili ya wenye nguvu, 1 ule upinde wa Yonathani haukugeuka nyuma. 2 Upanga wa Sauli haukurudi bure. 1

Read all of 2 Samuel 1

Cross References

1 Samuel 10:1Ndipo Samweli akachukua chupa ndogo ya mafuta na kuyamimina juu ya kichwa cha Sauli, akambusu, akisema, “Je, Bwana hakukutia mafuta uwe kiongozi juu ya watu wake Israeli?

1 Samuel 31:8Kesho yake Wafilisti walipokuja kuwavua maiti silaha, walimkuta Sauli na wanawe watatu wameanguka katika Mlima Gilboa.

1 Chronicles 10:8Kesho yake Wafilisti walipokuja kuwavua maiti silaha, walimkuta Sauli na wanawe wameanguka katika Mlima Gilboa.

Isaiah 5:6Nitalifanya nchi ya ukiwa isiyokaliwa na watu, 2 halitakatiwa matawi wala kulimwa, 1 nayo michongoma na miiba itamea huko, 2 nitaamuru mawingu yasinyeshe mvua juu yake.” 1

Jeremiah 20:14Ilaaniwe siku niliyozaliwa! 2 Nayo isibarikiwe ile siku 2 mama yangu aliyonizaa! 1

Joel 1:9Sadaka za nafaka na sadaka za kinywaji 2 zimekatiliwa mbali kutoka nyumba ya Bwana. 1 Makuhani wanaomboleza, 2 wale wanaohudumu mbele za Bwana. 1

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study 2 Samuel 1:21

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← 2 Samuel 1:202 Samuel 12 Samuel 1:22 →