bible.software › 1 Samweli › 1 Samweli 3 › 1 Samweli 3:7
1 Samweli 3:7
Wakati huu Samweli alikuwa bado hajamjua Bwana. Neno la Bwana lilikuwa bado halijafunuliwa kwake.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Now Samuel did not yet know the LORD, neither was the word of the LORD yet revealed unto him.
In Context
6Bwana akaita tena, “Samweli!” Naye Samweli akaamka, kwenda kwa Eli na kusema, “Mimi hapa, kwa kuwa umeniita.” Eli akasema, “Mwanangu, sikukuita, rudi ukalale.”
8Bwana akamwita Samweli mara ya tatu, naye Samweli akaamka kwenda kwa Eli na kusema, “Mimi hapa, kwa kuwa umeniita.” Ndipo Eli akatambua kuwa Bwana alikuwa akimwita kijana.
Read all of 1 Samweli 3
Cross References
Acts 19:2akawauliza, “Je, mlipokea Roho Mtakatifu mlipoamini?” Wakajibu, “Hapana, hata hatukusikia kuwa kuna Roho Mtakatifu.”
This Verse In Other Editions
Study 1 Samweli 3:7