Acts 19:2
akawauliza, “Je, mlipokea Roho Mtakatifu mlipoamini?” Wakajibu, “Hapana, hata hatukusikia kuwa kuna Roho Mtakatifu.”
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
3Ndipo Paulo akawauliza, “Je, mlibatizwa kwa ubatizo gani?” Wakajibu, “Kwa ubatizo wa Yohana.”
Cross References
1 Samuel 3:7Wakati huu Samweli alikuwa bado hajamjua Bwana. Neno la Bwana lilikuwa bado halijafunuliwa kwake.
Acts 2:17“ ‘Katika siku za mwisho, asema Mungu, 2 nitamimina Roho wangu 2 juu ya wote wenye mwili. 1 Wana wenu na binti zenu watatabiri, 2 vijana wenu wataona maono, 2 na wazee wenu wataota ndoto. 1
Acts 8:15Nao walipofika wakawaombea ili wampokee Roho Mtakatifu,
Acts 11:15“Nami nilipoanza kusema, Roho Mtakatifu akashuka juu yao kama vile alivyotushukia sisi hapo mwanzo.
Romans 1:11Ninatamani sana kuwaona ili nipate kuweka juu yenu karama za rohoni ili mwe imara,
1 Corinthians 12:1Basi ndugu zangu, kuhusu karama za rohoni, sitaki mkose kufahamu.