The Bible Software
bible.software › 1 Samweli › 1 Samweli 30 › 1 Samweli 30:3

1 Samweli 30:3

Daudi na watu wake walipofika Siklagi, wakakuta mji umeangamizwa kwa moto na wake zao pamoja na wana wao na binti zao wamechukuliwa mateka.

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

So David and his men came to the city, and, behold, it was burned with fire; and their wives, and their sons, and their daughters, were taken captives.

In Context

2nao wakawa wamewachukua mateka wanawake pamoja na wote waliokuwamo humo, vijana na wazee. Hawakuua yeyote, bali waliwachukua wakaenda zao.

4Hivyo Daudi na watu wake wakapiga yowe mpaka wakaishiwa na nguvu za kulia.

Read all of 1 Samweli 30

Cross References

Hebrews 12:6kwa sababu Bwana huwaadibisha wale awapendao, 2 na humwadhibu kila mmoja 2 anayemkubali kuwa mwana.”

Revelation 3:9Nitawafanya wale wa sinagogi la Shetani, wale ambao husema kuwa ni Wayahudi lakini sio, bali ni waongo, nitawafanya waje wapige magoti miguuni pako, na wakiri ya kwamba nimekupenda.

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study 1 Samweli 30:3

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← 1 Samweli 30:21 Samweli 301 Samweli 30:4 →