Waebrania 12:6
kwa sababu Bwana huwaadibisha wale awapendao, 2 na humwadhibu kila mmoja 2 anayemkubali kuwa mwana.”
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
For whom the Lord loveth he chasteneth, and scourgeth every son whom he receiveth.
In Context
Cross References
Deuteronomy 8:5Mjue basi ndani ya mioyo yenu kama mtu anavyomwadibisha mwanawe, ndivyo Bwana Mungu wako atawaadibisha ninyi.
2 Samuel 7:14Nitakuwa baba yake, naye atakuwa mwanangu. Atakapokosea nitamwadhibu kwa fimbo ya wanadamu, kwa adhabu ya kupigwa na wanadamu.
Psalms 73:14Mchana kutwa nimetaabika, 2 nimeadhibiwa kila asubuhi. 1
Psalms 94:12Ee Bwana, heri mtu anayeadhibishwa na wewe, 2 mtu unayemfundisha kwa sheria yako, 1
Psalms 119:75Ee Bwana, ninajua kwamba sheria zako ni za haki, 2 katika uaminifu wako umeniadhibu. 1
Proverbs 13:24Yeye aizuiaye fimbo yake hampendi mwanawe, 2 bali yeye ampendaye 2 huwa mwangalifu kumwadibisha. 1