1 Samweli 31:3
Mapigano yakawa makali sana kumzunguka Sauli, nao wapiga upinde wakampata na kumjeruhi vibaya.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
2Wafilisti wakawafuatia kwa bidii Sauli na wanawe, wakawaua Yonathani, Abinadabu na Malki-Shua.
Cross References
Genesis 49:23Kwa uchungu wapiga mshale walimshambulia, 2 wakampiga mshale kwa ukatili. 1
2 Samuel 1:6Yule kijana akasema, “Nilijipata huko Mlima Gilboa, naye Sauli alikuwa huko akiegemea mkuki wake, na magari ya vita na wapanda farasi wa upande wa adui wakawa wamemkaribia sana.
Amos 2:14Mkimbiaji hodari hatanusurika, 2 wenye nguvu wataishiwa nguvu zao, 2 na shujaa hataweza kuokoa maisha yake. 1