1 Samweli 4:2
Wafilisti wakapanga safu za majeshi yao kupambana na Israeli, wakati vita vilipoenea, Israeli wakashindwa na Wafilisti, ambao waliwaua askari wa Israeli wapatao 4,000 kwenye uwanja wa vita.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Numbers 14:45Ndipo Waamaleki na Wakanaani walioishi katika hiyo nchi ya vilima wakateremka na kuwashambulia, wakawapiga njia yote hadi Horma.
Joshua 7:12Ndiyo sababu Waisraeli hawawezi kusimama dhidi ya adui zao. Wanawapa visogo na kukimbia kwa kuwa wanastahili maangamizi. Sitakuwa pamoja nanyi tena mpaka mwangamize kila kitu miongoni mwenu kilichotengwa kwa maangamizi.
1 Samuel 17:21Israeli na Wafilisti walikuwa wakipanga safu zao wakitazamana.
Psalms 79:7kwa maana wamemrarua Yakobo 2 na kuharibu nchi ya makao yake. 1
Lamentations 3:40Tuzichunguze njia zetu na kuzijaribu, 2 na tumrudie Bwana Mungu. 1