Yoshua 7:12
Ndiyo sababu Waisraeli hawawezi kusimama dhidi ya adui zao. Wanawapa visogo na kukimbia kwa kuwa wanastahili maangamizi. Sitakuwa pamoja nanyi tena mpaka mwangamize kila kitu miongoni mwenu kilichotengwa kwa maangamizi.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Numbers 14:42Msipande juu, kwa kuwa Bwana hayupo pamoja nanyi. Mtashindwa na adui zenu,
Numbers 14:45Ndipo Waamaleki na Wakanaani walioishi katika hiyo nchi ya vilima wakateremka na kuwashambulia, wakawapiga njia yote hadi Horma.
Joshua 6:18Lakini mjiepushe na vitu vilivyowekwa wakfu, msije mkachukua chochote katika hivyo, msije mkajiletea maangamizi katika maskani ya Israeli na kuiletea taabu.
Judges 2:4Malaika wa Bwana alipomaliza kusema mambo haya kwa Waisraeli wote, watu wakalia kwa sauti kuu.
Psalms 5:4Wewe si Mungu unayefurahia uovu, 2 kwako mtu mwovu hataishi. 1
Isaiah 59:2Lakini maovu yenu yamewatenga 2 ninyi na Mungu wenu, 1 dhambi zenu zimewaficha ninyi uso wake, 2 ili asisikie. 1