1 Samuel 4:21
Alimwita yule mtoto Ikabodi, + 4:21 Ikabodi maana yake Utukufu wa Bwana umeondoka. akisema, “Utukufu umeondoka katika Israeli,” kwa sababu ya kutekwa kwa Sanduku la Mungu na vifo vya baba mkwe na mumewe.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
22Akasema, “Utukufu umeondoka katika Israeli, kwa kuwa Sanduku la Mungu limetekwa.”
Cross References
1 Samuel 3:12Wakati huo nitatimiza dhidi ya Eli kila kitu nilichonena dhidi ya jamaa yake, kuanzia mwanzo mpaka mwisho.
1 Samuel 14:3miongoni mwao alikuwepo Ahiya, ambaye alikuwa amevaa kisibau. Alikuwa mwana wa Ikabodi, nduguye Ahitubu mwana wa Finehasi, mwana wa Eli, kuhani wa Bwana huko Shilo. Hakuna yeyote aliyekuwa na habari kwamba Yonathani alikuwa ameondoka.
Psalms 78:61Akalipeleka Sanduku la nguvu zake utumwani, 2 utukufu wake mikononi mwa adui. 1
Psalms 106:20Waliubadilisha Utukufu wao 2 kwa sanamu ya fahali, ambaye hula majani. 1
Lamentations 2:1Tazama jinsi Bwana alivyomfunika Binti Sayuni 2 kwa wingu la hasira yake! 1 Ameitupa chini fahari ya Israeli 2 kutoka mbinguni mpaka duniani, 1 hakukumbuka kiti chake cha kuwekea miguu 2 katika siku ya hasira yake. 1