The Bible Software
bible.softwareLamentationsLamentations 2 › Lamentations 2:1

Lamentations 2:1

Tazama jinsi Bwana alivyomfunika Binti Sayuni 2 kwa wingu la hasira yake! 1 Ameitupa chini fahari ya Israeli 2 kutoka mbinguni mpaka duniani, 1 hakukumbuka kiti chake cha kuwekea miguu 2 katika siku ya hasira yake. 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

How hath the Lord covered the daughter of Zion with a cloud in his anger, and cast down from heaven unto the earth the beauty of Israel, and remembered not his footstool in the day of his anger!

In Context

2Bila huruma Bwana ameyameza 2 makao yote ya Yakobo; 1 katika ghadhabu yake amebomoa 2 ngome za Binti Yuda. 1 Ameuangusha ufalme wake na wakuu wake 2 chini kwa aibu. 1

Read all of Lamentations 2

Cross References

1 Samuel 4:22Akasema, “Utukufu umeondoka katika Israeli, kwa kuwa Sanduku la Mungu limetekwa.”

1 Chronicles 28:2Mfalme Daudi akainuka na kusema: “Nisikilizeni ndugu zangu nanyi watu wangu. Nilikuwa na nia ya kujenga nyumba ili iwe mahali pa kukaa Sanduku la Agano la Bwana kwa ajili ya kuwa mahali pa kuwekea miguu ya Mungu wetu, nami nikafanya maandalizi ya kuijenga.

Psalms 99:5Mtukuzeni Bwana Mungu wetu, 2 na mkaabudu katika mahali pa kuwekea miguu yake; 2 yeye ni mtakatifu. 1

Isaiah 14:12Tazama jinsi ulivyoanguka kutoka mbinguni, 2 ewe nyota ya asubuhi, mwana wa mapambazuko! 1 Umetupwa chini duniani, 2 wewe uliyepata kuangusha mataifa! 1

Jeremiah 30:14Wale walioungana nawe wote wamekusahau, 2 hawajali chochote kukuhusu wewe. 1 Nimekupiga kama vile adui angelifanya, 2 na kukuadhibu kama vile mtu mkatili angelifanya, 1 kwa sababu hatia yako ni kubwa mno 2 na dhambi zako ni nyingi sana. 1

Lamentations 1:12“Je, si kitu kwenu, ninyi nyote mpitao kando? 2 Angalieni kote mwone. 1 Je, kuna maumivu kama maumivu yangu 2 yale yaliyotiwa juu yangu, 1 yale Bwana aliyoyaleta juu yangu 2 katika siku ya hasira yake kali? 1

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Lamentations 2:1

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
Lamentations 2Lamentations 2:2 →