Genesis 22:19
Ndipo Abrahamu akawarudia watumishi wake, wakaondoka wakaenda wote pamoja mpaka Beer-Sheba. Abrahamu akaishi huko Beer-Sheba. 1 Wana Wa Nahori
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
18na kupitia uzao wako mataifa yote duniani yatabarikiwa, kwa sababu umenitii.”
20Baada ya muda, Abrahamu akaambiwa, “Milka pia amepata watoto, amemzalia ndugu yako Nahori wana:
Cross References
Joshua 15:28Hasar-Shuali, Beer-Sheba, Biziothia,