1 Samweli 8:22
Bwana akamjibu, “Wasikilize na uwape mfalme.” Kisha Samweli akawaambia watu wa Israeli, “Kila mmoja arudi mjini kwake.”
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
21Samweli aliposikia yote watu waliyosema, akarudia kuyasema mbele za Bwana.
Cross References
1 Samuel 8:7Naye Bwana akamwambia: “Sikiliza yale yote watu wanakuambia. Si wewe ambaye wamekukataa, bali wamenikataa mimi kuwa mfalme wao.