1 Samweli 8:7
Naye Bwana akamwambia: “Sikiliza yale yote watu wanakuambia. Si wewe ambaye wamekukataa, bali wamenikataa mimi kuwa mfalme wao.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Numbers 22:20Usiku ule Bwana akamjia Balaamu na kumwambia, “Kwa kuwa watu hawa wamekuja kukuita wewe, nenda nao, lakini ufanye tu lile nitakalokuambia.” 1 Punda Wa Balaamu
1 Samuel 10:19Lakini sasa mmemkataa Mungu wenu, ambaye anawaokoa toka katika maafa yenu yote na taabu zenu zote. Nanyi mmesema, ‘Hapana, tuteulie mfalme atutawale.’ Sasa basi, jihudhurisheni wenyewe mbele za Bwana kwa kabila zenu na kwa koo zenu.”
1 Samuel 12:12“Lakini mlipomwona yule Nahashi mfalme wa Waamoni anakuja dhidi yenu, mliniambia, ‘Hapana, tunataka mfalme atutawale,’ hata ingawa Bwana Mungu wenu alikuwa mfalme wenu.
Psalms 81:11“Lakini watu wangu hawakutaka kunisikiliza; 2 Israeli hakutaka kunitii. 1
Hosea 13:10Yuko wapi mfalme wako, 2 ili apate kukuokoa? 1 Wako wapi watawala wako katika miji yako yote 2 ambao ulisema kuwahusu, 2 ‘Nipe mfalme na wakuu’? 1
Matthew 10:40“Mtu yeyote atakayewapokea ninyi atakuwa amenipokea mimi, na yeyote atakayenipokea mimi atakuwa amempokea yeye aliyenituma.