1 Samweli 9:3
Basi punda wa Kishi baba yake Sauli walipotea, naye Kishi akamwambia mwanawe Sauli, “Mchukue mmoja wa watumishi mwende pamoja naye kuwatafuta punda.”
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Judges 5:10“Nanyi mpandao punda weupe, 2 mkiketi juu ya matandiko ya thamani, 2 nanyi mtembeao barabarani, 1 fikirini
1 Samuel 10:2Utakapoondoka kwangu leo, utakutana na watu wawili karibu na kaburi la Raheli, huko Selsa kwenye mpaka wa Benyamini. Watakuambia, ‘Punda wale uliotoka kwenda kuwatafuta, wamekwisha kupatikana. Sasa baba yako ameacha kufikiri kuhusu punda na sasa ana hofu kukuhusu wewe. Anauliza, “Nitafanyaje kuhusu mwanangu?” ’