The Bible Software
bible.software › Waamuzi › Waamuzi 5 › Waamuzi 5:10

Waamuzi 5:10

“Nanyi mpandao punda weupe, 2 mkiketi juu ya matandiko ya thamani, 2 nanyi mtembeao barabarani, 1 fikirini

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

Speak, ye that ride on white asses, ye that sit in judgment, and walk by the way.

In Context

9Moyo wangu u pamoja na wakuu wa Israeli, 2 pamoja na wale wanaojitoa wenyewe 2 kwa hiari yao miongoni mwa watu. 2 Mhimidini Bwana! 1

11juu ya sauti za waimbaji 2 mahali pa kunyweshea maji. 1 Wanasimulia matendo ya haki ya Bwana, 2 matendo ya haki ya mashujaa wake 2 katika Israeli. 1 “Ndipo watu wa Bwana 2 walipoteremka malangoni pa mji. 1

Read all of Waamuzi 5

Cross References

Judges 10:4Alikuwa na wana thelathini waliopanda punda thelathini. Nao walikuwa na miji thelathini iliyoko Gileadi, inayoitwa Hawoth-Yairi mpaka leo.

Psalms 105:2Mwimbieni yeye, mwimbieni yeye sifa, 2 waambieni matendo yake yote ya ajabu. 1

Psalms 145:5Watasema juu ya utukufu wa fahari ya ukuu wako, 2 nami nitatafakari juu ya kazi zako za ajabu. 1

Isaiah 28:6Atakuwa roho ya haki 2 kwa yeye aketiye katika kiti cha hukumu, 1 chanzo cha nguvu 2 kwa wale wazuiao vita langoni. 1

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Waamuzi 5:10

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Waamuzi 5:9Waamuzi 5Waamuzi 5:11 →