1 Wathesalonike 3:11
Tunamwomba Mungu, Baba yetu mwenyewe, na Bwana wetu Yesu atutayarishie njia ya kuja kwenu.
Biblia Takatifu
In The King James Version
Now God himself and our Father, and our Lord Jesus Christ, direct our way unto you.
In Context
Cross References
Matthew 6:4Toa msaada wako kwa siri, na Baba yako aonaye yaliyofichika, atakutuza.
Matthew 6:8Msiwe kama wao. Baba yenu anajua mnayoyahitaji hata kabla ya kumwomba.
Matthew 6:18ili mtu yeyote asijue kwamba unafunga, ila ujulikane tu kwa Baba yako asiyeonekana. Naye Baba yako aonaye yaliyofichika atakutuza.
Matthew 6:32Maana hayo yote yanahangaikiwa na watu wasiomjua Mungu. Baba yenu wa mbinguni anajua kwamba mnahitaji vitu hivyo vyote.