The Bible Software
bible.software › 1 Wathesalonike › 1 Wathesalonike 5 › 1 Wathesalonike 5:22

1 Wathesalonike 5:22

na epukeni kila aina ya uovu.

Biblia Takatifu

In The King James Version

Abstain from all appearance of evil.

In Context

21Pimeni kila kitu: zingatieni kilicho chema,

23Mungu anayetupatia amani awafanye ninyi watakatifu kwa kila namna na kuzilinda nafsi zenu—roho, mioyo na miili yenu—mbali na hatia yoyote wakati wa kuja kwake Bwana wetu Yesu Kristo.

Read all of 1 Wathesalonike 5

Cross References

Romans 12:17Msilipe ovu kwa ovu. Zingatieni mambo mema mbele ya wote.

1 Corinthians 10:31Basi, chochote mfanyacho iwe ni kula au kunywa, fanyeni yote kwa ajili ya utukufu wa Mungu.

2 Corinthians 8:20Tunataka kuepa lawama zinazoweza kutokea kuhusu usimamizi wetu juu ya zawadi hii karimu.

1 Thessalonians 4:12Kwa namna hiyo mtajipatia sifa nzuri kutoka kwa wale wasio Wakristo, na hamtakuwa na lazima ya kuwategemea wengine kwa mahitaji yenu.

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Portuguesa MundialLuther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)新标点和合本성경 (한국어)聖書 (日本語)الكتاب المقدس باللغة العربية، فان دايكBibbia Diodati (Italiano)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)Polish Biblia Gdanska (1881)

Study 1 Wathesalonike 5:22

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeAlbert BarnesJohn WesleyJohn CalvinScofieldWilliam BurkittFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)Robertson's Word Pictures
← 1 Wathesalonike 5:211 Wathesalonike 51 Wathesalonike 5:23 →