Warumi 12:17
Msimlipe mtu yeyote ovu kwa ovu. Jitahidini ili mtende yaliyo mema machoni pa watu wote.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Recompense to no man evil for evil. Provide things honest in the sight of all men.
In Context
18Kama ikiwezekana, kwa upande wenu kaeni kwa amani na watu wote.
Cross References
Proverbs 20:22Usiseme, “Nitakulipiza kwa ajili ya kosa hili!” 2 Mngojee Bwana, naye atakuokoa. 1
Romans 12:19Wapendwa, msilipize kisasi, bali ipisheni ghadhabu ya Mungu, maana imeandikwa: “Ni juu yangu kulipiza kisasi, nitalipiza,” asema Bwana.
1 Corinthians 6:6Badala yake ndugu mmoja anampeleka mwenzake mahakamani, tena mbele ya watu wasioamini!
2 Corinthians 8:20Tunataka kuepuka lawama yoyote kuhusu jinsi tunavyosimamia matoleo haya ya ukarimu.
Colossians 4:5Enendeni kwa hekima mbele yao walio nje, mkiukomboa wakati.
1 Thessalonians 5:15Angalieni kuwa mtu asimlipe mwenzake maovu kwa maovu, bali siku zote tafuteni kutendeana mema ninyi kwa ninyi na kwa watu wote.