1 Wathesalonike 5:7
Wanaolala hulala usiku, na walevi hulewa usiku.
Biblia Takatifu
In The King James Version
For they that sleep sleep in the night; and they that be drunken are drunken in the night.
In Context
6Basi, tusilale usingizi kama wengine; tunapaswa kukesha na kuwa na kiasi.
Cross References
Acts 2:15Watu hawa hawakulewa kama mnavyodhani; mbona ni saa tatu tu asubuhi?
1 Corinthians 15:34Amkeni! Anzeni kuishi vema, na acheni kutenda dhambi. Baadhi yenu hawamjui Mungu kabisa. Hii nawaambieni, ni aibu kubwa kwenu!
2 Peter 2:13na watalipwa mateso kwa mateso ambayo wameyasababisha. Furaha yao ni kufanya, tena mchana kabisa, chochote kinachotosheleza anasa zao za mwili. Hao ni fedheha na aibu tupu kwa jumuiya yenu wakati wanapojiunga nanyi katika karamu zenu, bali wakifurahia njia zao za udanganyifu.