The Bible Software
bible.software › 1 Wathesalonike › 1 Wathesalonike 5 › 1 Wathesalonike 5:6

1 Wathesalonike 5:6

Basi, tusilale usingizi kama wengine; tunapaswa kukesha na kuwa na kiasi.

Biblia Takatifu

In The King James Version

Therefore let us not sleep, as do others; but let us watch and be sober.

In Context

5Ninyi nyote ni watu mnaoishi katika mwanga, watu wa mchana. Sisi si watu wa usiku, wala wa giza.

7Wanaolala hulala usiku, na walevi hulewa usiku.

Read all of 1 Wathesalonike 5

Cross References

Matthew 24:42Basi, kesheni, kwa maana hamjui siku atakayokuja Bwana wenu.

Matthew 25:13Kisha Yesu akasema, “Kesheni basi, kwa maana hamjui siku wala saa.

Matthew 26:40Akawaendea wale wanafunzi, akawakuta wamelala. Akamwambia Petro, “Ndiyo kusema hamkuweza kukesha pamoja nami hata saa moja?

Mark 13:37Ninayowaambieni ninyi, nawaambia wote: Kesheni!”

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Portuguesa MundialLuther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)新标点和合本성경 (한국어)聖書 (日本語)الكتاب المقدس باللغة العربية، فان دايكBibbia Diodati (Italiano)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)Polish Biblia Gdanska (1881)

Study 1 Wathesalonike 5:6

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeAlbert BarnesJohn WesleyJohn CalvinScofieldWilliam BurkittFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)Robertson's Word Pictures
← 1 Wathesalonike 5:51 Wathesalonike 51 Wathesalonike 5:7 →