1 Timotheo 2:4
anayetaka watu wote waokolewe na wafikie kuijua kweli.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Who will have all men to be saved, and to come unto the knowledge of the truth.
In Context
3Jambo hili ni jema, tena linapendeza machoni pa Mungu Mwokozi wetu,
Cross References
Isaiah 49:6yeye asema: 1 “Je, ni jambo dogo sana wewe kuwa mtumishi wangu 2 ili kurejeza makabila ya Yakobo, 2 na kuwarudisha wale Waisraeli niliowahifadhi? 1 Pia nitakufanya uwe nuru kwa ajili ya watu wa Mataifa, 2 ili upate kuleta wokovu wangu hata miisho ya dunia.” 1
Isaiah 55:1“Njooni, ninyi nyote wenye kiu, 2 njooni kwenye maji; 1 nanyi ambao hamna fedha, 2 njooni, nunueni na mle! 1 Njooni, nunueni divai na maziwa 2 bila fedha na bila gharama. 1
Ezekiel 18:32Kwa maana sifurahii kifo cha mtu awaye yote afaye katika uovu, asema Bwana Mwenyezi. Tubuni basi, mkaishi!
Habakkuk 2:14Kwa kuwa dunia itajazwa na maarifa ya utukufu wa Bwana, 2 kama maji yaifunikavyo bahari. 1
Mark 16:15Akawaambia, “Enendeni ulimwenguni kote, mkaihubiri Injili kwa kila kiumbe.
Luke 14:23“Ndipo yule bwana akamwambia mtumishi wake, ‘Nenda kwenye barabara na vijia vilivyoko nje ya mji na uwalazimishe watu waingie ili nyumba yangu ipate kujaa.