The Bible Software
bible.softwareLukaLuka 14 › Luka 14:23

Luka 14:23

“Ndipo yule bwana akamwambia mtumishi wake, ‘Nenda kwenye barabara na vijia vilivyoko nje ya mji na uwalazimishe watu waingie ili nyumba yangu ipate kujaa.

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

And the lord said unto the servant, Go out into the highways and hedges, and compel them to come in, that my house may be filled.

In Context

22“Yule mtumishi akamwambia, ‘Bwana, yale uliyoniagiza nimefanya, lakini bado ipo nafasi.’

24Kwa maana nawaambia, hakuna hata mmoja wa wale walioalikwa atakayeionja karamu yangu.’ ” 1 Gharama Ya Kuwa Mwanafunzi (Mathayo 10:37-38)

Read all of Luka 14

Cross References

Genesis 19:2Akasema, “Bwana zangu, tafadhali karibuni kwenye nyumba ya mtumishi wenu. Mnaweza kunawa miguu na kulala hapa kisha asubuhi na mapema mwendelee na safari yenu.” Wakamjibu, “La hasha, tutalala hapa nje uwanjani.”

Psalms 110:3Askari wako watajitolea kwa hiari 2 katika siku yako ya vita. 1 Ukiwa umevikwa fahari takatifu, 2 kutoka tumbo la mapambazuko 2 utapokea umande wa ujana wako. + 110:3 Au: vijana wako watakujia kama umande. 1

Isaiah 19:24Katika siku hiyo Israeli itakuwa ya tatu, pamoja na Misri na Ashuru, nao watakuwa baraka kwa dunia.

Isaiah 49:5Sasa Bwana asema: 2 yeye aliyeniumba tumboni kuwa mtumishi wake, 1 kumrudisha tena Yakobo kwake 2 na kumkusanyia Israeli, 1 kwa maana nimepata heshima machoni pa Bwana, 2 naye Mungu wangu amekuwa nguvu yangu; 1

Zechariah 14:8Siku hiyo, maji yaliyo hai yatatiririka kutoka Yerusalemu, nusu kwenda kwenye bahari ya mashariki, + 14:8 Yaani Bahari ya Chumvi au Bahari Mfu. na nusu kwenda kwenye bahari ya magharibi + 14:8 Yaani Bahari ya Mediterania. wakati wa kiangazi na wakati wa masika.

Matthew 21:43“Kwa hiyo ninawaambia, Ufalme wa Mungu utaondolewa kwenu na kupewa watu wengine wawezao kuzaa matunda yake.

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)聖書 (日本語)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)

Study Luka 14:23

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeAlbert BarnesJohn WesleyJohn CalvinScofieldWilliam BurkittFamily Bible NotesThe Fourfold GospelJohn LightfootGeneva Bible Notes (1599)
← Luka 14:22Luka 14Luka 14:24 →