1 Timotheo 2:7
Nami kwa kusudi hili nimewekwa niwe mhubiri na mtume (nasema kweli katika Kristo wala sisemi uongo), mwalimu wa watu wa Mataifa katika imani na kweli.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
8Nataka kila mahali wanaume wasali wakiinua mikono mitakatifu pasipo hasira wala kugombana.
Cross References
Ecclesiastes 1:1Maneno ya Mhubiri, mwana wa Daudi, mfalme huko Yerusalemu: 1
Ecclesiastes 7:27Mhubiri anasema, “Tazama, hili ndilo nililogundua: 1 “Nimegundua kitu kimoja baada ya kingine nilipokuwa katika kusudi la mambo: 2
John 7:35Wayahudi wakaulizana wao kwa wao, “Huyu mtu anataka kwenda wapi ambako hatuwezi kumfuata? Je, anataka kwenda kwa Wayunani ambako baadhi ya watu wetu wametawanyikia, akawafundishe Wayunani?
Acts 14:27Walipowasili Antiokia wakaliita kanisa pamoja na kutoa taarifa ya yale yote Mungu aliyokuwa ametenda kupitia kwao na jinsi alivyokuwa amefungua mlango wa imani kwa ajili ya watu wa Mataifa.
Acts 26:17Nitakuokoa kutoka kwa watu wako na watu wa Mataifa ambao ninakutuma kwao,
Romans 1:9Kwa maana Mungu ninayemtumikia kwa moyo wangu wote katika kuhubiri Injili ya Mwanawe, ni shahidi wangu jinsi ninavyowakumbuka