The Bible Software
bible.softwareJohnJohn 7 › John 7:35

John 7:35

Wayahudi wakaulizana wao kwa wao, “Huyu mtu anataka kwenda wapi ambako hatuwezi kumfuata? Je, anataka kwenda kwa Wayunani ambako baadhi ya watu wetu wametawanyikia, akawafundishe Wayunani?

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

Then said the Jews among themselves, Whither will he go, that we shall not find him? will he go unto the dispersed among the Gentiles, and teach the Gentiles?

In Context

34Mtanitafuta lakini hamtaniona, nami niliko ninyi hamwezi kuja.”

36Yeye ana maana gani anaposema, ‘Mtanitafuta lakini hamtaniona,’ na, ‘nami niliko ninyi hamwezi kuja’?” 1 Mito Ya Maji Ya Uzima

Read all of John 7

Cross References

Psalms 67:1Mungu aturehemu na kutubariki, 2 na kutuangazia nuru za uso wake, 1

Isaiah 11:10Katika siku hiyo, Shina la Yese atasimama kama bendera kwa ajili ya mataifa. Mataifa yatakusanyika kwake, na mahali pake pa kupumzikia patakuwa utukufu.

Isaiah 27:12Katika siku ile Bwana atapura kutoka matiririko ya Mto Frati hadi Kijito cha Misri, nanyi ee Waisraeli, mtakusanywa mmoja mmoja.

Zephaniah 3:10Kutoka ngʼambo ya mito ya Kushi 2 watu wangu wanaoniabudu, 1 watu wangu waliotawanyika, 2 wataniletea sadaka. 1

Luke 2:32nuru kwa ajili ya ufunuo kwa watu wa Mataifa 2 na kwa ajili ya utukufu kwa watu wako Israeli.”

John 12:20Basi palikuwa Wayunani fulani miongoni mwa wale waliokuwa wamekwenda kuabudu wakati wa Sikukuu.

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)聖書 (日本語)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)

Study John 7:35

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeAlbert BarnesJohn WesleyJohn CalvinScofieldWilliam BurkittFamily Bible NotesThe Fourfold GospelJohn LightfootGeneva Bible Notes (1599)
← John 7:34John 7John 7:36 →