1 Timothy 4:13
Fanya bidii kusoma Maandiko hadharani, kuhubiri na kufundisha, mpaka nitakapokuja.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Till I come, give attendance to reading, to exhortation, to doctrine.
In Context
Cross References
Deuteronomy 17:19Atakuwa na nakala hiyo, naye ataisoma siku zote za maisha yake ili kwamba ajifunze kumheshimu Bwana Mungu wake na kufuata kwa uangalifu maneno yote ya sheria hii na amri hizi,
Psalms 1:2Bali huifurahia sheria ya Bwana, 2 naye huitafakari hiyo sheria usiku na mchana. 1
Proverbs 2:4na kama utaitafuta kama fedha 2 na kuitafuta sana kama hazina iliyofichwa, 1
John 5:39Ninyi mnachunguza Maandiko mkidhani ya kuwa ndani yake mna uzima wa milele, maandiko haya ndiyo yanayonishuhudia Mimi.
Acts 17:11Hawa Waberoya walikuwa waungwana zaidi kuliko wale wa Thesalonike, kwa kuwa waliupokea ule ujumbe kwa shauku kubwa na kuyachunguza Maandiko kila siku ili kuona kama yale Paulo aliyosema yalikuwa kweli.
1 Corinthians 14:3Lakini anayetoa unabii anasema na watu akiwajenga, kuwatia moyo na kuwafariji.