2 Chronicles 1:10
Nakuomba unipe mimi hekima na maarifa, ili niweze kuongoza watu hawa, kwa kuwa ni nani awezaye kutawala hawa watu wako walio wengi hivi?”
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Deuteronomy 31:2“Sasa nina miaka mia moja na ishirini nami siwezi tena kuwaongoza. Bwana ameniambia, ‘Hutavuka Yordani.’
1 Kings 3:9Hivyo mpe mtumishi wako moyo wa ufahamu ili kutawala watu wako na kupambanua kati ya mema na mabaya. Kwa maana, ni nani awezaye kutawala watu wako hawa walio wengi hivi?”
Psalms 119:73Mikono yako ilinifanya na kuniumba, 2 nipe ufahamu niweze kujifunza amri zako. 1
Proverbs 3:13Heri mtu yule aonaye hekima, 2 mtu yule apataye ufahamu, 1
2 Corinthians 2:16Kwa wale wanaopotea, sisi ni harufu ya mauti iletayo mauti; lakini kwa wale wanaookolewa, sisi ni harufu nzuri iletayo uzima. Ni nani awezaye mambo hayo?
James 1:5Kama mtu yeyote miongoni mwenu amepungukiwa na hekima na amwombe Mungu, yeye awapaye watu wote kwa ukarimu wala hana kinyongo, naye atapewa.