2 Chronicles 1:9
Sasa, Bwana Mungu, ahadi yako kwa baba yangu Daudi na ithibitike, kwa kuwa umenifanya mimi mfalme juu ya watu ambao ni wengi kama mavumbi ya nchi.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Genesis 13:16Nitaufanya uzao wako uwe mwingi kama mavumbi ya nchi, hivyo kama kuna yeyote awezaye kuhesabu mavumbi, basi uzao wako utahesabika.
Numbers 23:10Ni nani awezaye kuhesabu mavumbi ya Yakobo, 2 au kuhesabu robo ya Israeli? 1 Mimi na nife kifo cha mtu mwenye haki, 2 na mwisho wangu na uwe kama wao!”
2 Samuel 7:25“Basi sasa, Bwana, ukaitimize ahadi uliyosema kuhusu mtumishi wako na nyumba yake milele. Fanya kama ulivyoahidi,
1 Chronicles 17:11Wakati wako utakapokuwa umekwisha, nawe ukawa umekwenda kukaa na baba zako, nitamwinua mzao wako aingie mahali pako kuwa mfalme, mmoja wa wana wako mwenyewe, nami nitaufanya imara ufalme wake.
1 Chronicles 28:5Miongoni mwa wanangu wote, naye Bwana amenipa wengi, amemchagua Solomoni mwanangu ili kukikalia kiti cha enzi cha ufalme wa Bwana juu ya Israeli.
Psalms 89:35Mara moja na kwa milele, nimeapa kwa utakatifu wangu, 2 nami sitamdanganya Daudi: 1