2 Nyakati 10:11
Baba yangu aliweka nira nzito juu yenu, mimi nitaifanya hata iwe nzito zaidi. Baba yangu aliwachapa kwa mijeledi; mimi nitawachapa kwa nge.’ ”
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Exodus 1:13kwa hiyo wakawatumikisha kwa ukatili.
Exodus 5:18Sasa nendeni kazini. Hamtapewa nyasi zozote, nanyi ni lazima mtengeneze matofali.”
Isaiah 47:6Niliwakasirikia watu wangu 2 na kuaibisha urithi wangu; 1 niliwatia mikononi mwako, 2 nawe hukuwaonea huruma. 1 Hata juu ya wazee 2 uliweka nira nzito sana. 1
Jeremiah 28:13“Nenda ukamwambie Hanania, ‘Hili ndilo asemalo Bwana: Umevunja nira ya mti, lakini badala yake utapata nira ya chuma.
Luke 10:19Tazama nimewapa mamlaka ya kukanyaga nyoka na nge na juu ya nguvu zote za adui; wala hakuna kitu chochote kitakachowadhuru.
Revelation 9:5Wakaruhusiwa kuwatesa kwa muda wa miezi mitano, lakini wasiwaue. Uchungu wa kuuma kwao ulikuwa kama ule wa mtu aumwapo na nge.