2 Chronicles 10:13
Mfalme akawajibu watu kwa ukatili. Akikataa shauri alilopewa na wazee,
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And the king answered them roughly; and king Rehoboam forsook the counsel of the old men,
In Context
Cross References
Genesis 42:7Mara Yosefu alipowaona ndugu zake, akawatambua, lakini akajifanya mgeni na kuzungumza nao kwa ukali, akiwauliza, “Ninyi mnatoka wapi?” Wakamjibu, “Tumetoka katika nchi ya Kanaani kuja kununua chakula.”
Exodus 10:28Farao akamwambia Mose, “Ondoka mbele yangu! Hakikisha kuwa hutakuja mbele yangu tena! Siku ile utakapouona uso wangu utakufa.”
1 Kings 20:6Lakini kesho wakati kama huu, nitawatuma maafisa wangu kukagua jumba lako la kifalme na nyumba za maafisa wako. Watatwaa kitu unachokithamini nao watakichukua.’ ”
Proverbs 15:1Jawabu la upole hugeuza ghadhabu, 2 bali neno liumizalo huchochea hasira. 1