2 Chronicles 10:8
Lakini Rehoboamu akakataa shauri alilopewa na wazee na akataka ushauri kwa vijana wanaume rika lake waliokuwa wakimtumikia.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
2 Chronicles 25:15Hasira ya Bwana ikawaka dhidi ya Amazia, naye akamtuma nabii kwake, ambaye alisema: “Kwa nini unauliza kwa miungu ya hawa watu, ambayo haikuweza kuwaokoa watu wake wenyewe kutoka mkononi mwako?”
Proverbs 9:9Mfundishe mtu mwenye hekima 2 naye atakuwa na hekima zaidi; 1 mfundishe mtu mwadilifu 2 naye atazidi kufundishika. 1
Proverbs 19:20Sikiliza mashauri na ukubali mafundisho, 2 nawe mwishoni utakuwa na hekima. 1
Proverbs 27:10Usimwache rafiki yako wala rafiki wa baba yako, 2 tena usiende nyumbani mwa ndugu yako 2 wakati umepatwa na maafa. 1 Bora jirani wa karibu 2 kuliko ndugu aliye mbali. 1
Ecclesiastes 10:16Ole wako, ee nchi ambayo mfalme wako alikuwa mtumwa 2 na ambayo wakuu wako hufanya karamu asubuhi. 1