2 Chronicles 11:1
Ikawa Rehoboamu alipofika Yerusalemu, akakusanya nyumba ya Yuda na ya Benyamini, wanaume wapiganaji 180,000, kufanya vita dhidi ya nyumba ya Israeli na kuurudisha tena ufalme kwa Rehoboamu mwana wa Solomoni.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
2Lakini neno hili la Bwana likamjia Shemaya mtu wa Mungu:
Cross References
1 Kings 12:1Rehoboamu akaenda Shekemu, kwa kuwa Waisraeli wote walikuwa wamekwenda huko kumfanya yeye kuwa mfalme.
Psalms 33:10Bwana huzuia mipango ya mataifa, 2 hupinga makusudi ya mataifa. 1
Proverbs 21:30Hakuna hekima, wala akili, wala mpango 2 unaoweza kufaulu dhidi ya Bwana. 1