The Bible Software
bible.softwareProverbsProverbs 21 › Proverbs 21:30

Proverbs 21:30

Hakuna hekima, wala akili, wala mpango 2 unaoweza kufaulu dhidi ya Bwana. 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

There is no wisdom nor understanding nor counsel against the LORD.

In Context

29Mtu mwovu ana uso wa ushupavu, 2 bali mtu mnyofu huzifikiria njia zake. 1

31Farasi huandaliwa kwa ajili ya siku ya vita, 2 bali ushindi huwa kwa Bwana.

Read all of Proverbs 21

Cross References

2 Samuel 11:9Lakini Uria akalala kwenye ingilio la jumba la kifalme pamoja na watumishi wote wa bwana wake, na hakuteremka kwenda nyumbani kwake.

2 Kings 6:12Mmoja wa maafisa wake akasema, “Mfalme bwana wangu, hakuna hata mmoja wetu. Lakini Elisha, yule nabii aliye Israeli, humwambia mfalme wa Israeli hata yale maneno unayozungumza katika chumba chako cha kulala.”

Proverbs 19:21Kuna mipango mingi ndani ya moyo wa mtu, 2 lakini kusudi la Bwana ndilo litakalosimama. 1

Isaiah 8:9Inueni kilio cha vita, enyi mataifa, 2 na mkavunjwevunjwe! 2 Sikilizeni, enyi nyote nchi za mbali. 1 Jiandaeni kwa vita, nanyi mkavunjwevunjwe! 2 Jiandaeni kwa vita, nanyi mkavunjwevunjwe! 1

Isaiah 36:5Unasema mnayo mikakati na nguvu za kijeshi, lakini unasema maneno matupu tu. Je, wewe unamtegemea nani, hata ukaniasi mimi?

Jeremiah 9:23Hili ndilo asemalo Bwana: 1 “Mwenye hekima asijisifu katika hekima yake, 2 au mwenye nguvu ajisifu katika nguvu zake, 2 wala tajiri ajisifu katika utajiri wake, 1

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Proverbs 21:30

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Proverbs 21:29Proverbs 21Proverbs 21:31 →