2 Chronicles 11:20
Kisha akamwoa Maaka binti Absalomu, ambaye alimzalia: Abiya, Atai, Ziza na Shelomithi.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
19Mahalati alimzalia Rehoboamu wana: Yeushi, Shemaria na Zahamu.
Cross References
1 Kings 15:1Katika mwaka wa kumi na nane wa utawala wa Yeroboamu mwana wa Nebati, Abiya akawa mfalme wa Yuda,
2 Chronicles 11:21Rehoboamu akampenda Maaka binti Absalomu zaidi kuliko wakeze wengine na masuria wake. Kwa jumla alikuwa na wake kumi na wanane na masuria sitini, wana ishirini na wanane na binti sitini.
2 Chronicles 13:1Katika mwaka wa kumi na nane wa utawala wa Yeroboamu, Abiya akawa mfalme wa Yuda,
Matthew 1:7Solomoni akamzaa Rehoboamu, 2 Rehoboamu akamzaa Abiya, 2 Abiya akamzaa Asa, 2